Nikitafakari maisha ya Kiafrika na historia hata ya kabla ya ujio wa mzungu, huwa naona kuna ukweli fulani hivi. Hebu tulia ulinganishe baadhi ya makazi duni ya sasa kwenye maeneo ya Afrika ulingaishe na majengo ya karne za kitambo bara Uropa, utaona kunao waliishi vizuri kuzidi ndugu zetu wa leo.
Ujerumani iliyohusika kwenye vita vya kwanza vya dunia inaweza ikagaragaza mataifa mengi ya kisasa Afrika.