FN nimeitumia chief, ina kawaida ya kuganda ganda sana, yaani round 5/7 inaganda! Na hata barrel yake inachemka vibaya sana, na ndio hata kwenye kasha lake utakuta wameweka barrel mbili, na pia kwenye barrel yake kwenye gas regulator inaplate kwa ndani zikipata moshi kidogo zinazingua sana.