Kwa hiyo unapingana na wanasaikolojia? Mimi nilifikiri pengine, mbali na mambo mengine, ni ile ishu ya kuonja ukiwa unapika mwenyewe. Ukishakionja basi ule mzuka unakata unakiona kuwa cha kawaida tu, kinyume na cha mpishi mwingine unachotengewa tu kwa mara ya kwanza.