Harafu mkuu kuna moja anaitwa Sarah ananisumbua kwenye email yangu ananiambia tu meet ila ataki mume wake hajue anavyodai yeye kuwa mume wake anamcheat anata kulipiza kisasi Mimi na yeye kwenda kwenye website yao sasa mademu ni wengi hata sura yake haijulikani wala alama yeyote mkuu wazungu watu wa ajabu sana hawa waendesha porn hawa!!!
Sent using
Jamii Forums mobile app