Hivi kwa mfano mechi ikitanganzwa tena na sisi wananchi tukaziraaaa kwenda uwanjani kushangilia hivi ni nani atapata HASARA?Tumechoka kupelekeshwa,na sisi wananchi siku tukaamua yetu hizo mechi zitabaki stories.
Hii ni sawa na sisi walevi Tanzania nzima tugome kunywa pombe yoyote kwa mwezi mzima nadhani nchi inaweza kuelewa ni nini mchango wetu katika uchumi wa nchi,ngojeni tujitambue
Sent from my SM-G531H using
JamiiForums mobile app