Vituko mitandaoni. Tupia chako

Yeah, ila ilifanya kazi yake kiasi.
Africa ndio maana tulitawaliwa kweli, watu wana mitambo hii toka hio enzi, sisi ni mikuki kama apocalypto, duh. Tumetoka mbali aisee!
Hebu fikiria "vichaa" kama akina Kinjeketile Ngwale, Mkwawa, Mangi Sina, Chaburuma, Dedan Kimathi, Shaka Zulu, Malkia Nzinga Mbandi,
Mirambo na wengineo wangekuwa na mashine kama hizi, haki ya nani tusingetawaliwa!
 
Hivi kwa mfano mechi ikitanganzwa tena na sisi wananchi tukaziraaaa kwenda uwanjani kushangilia hivi ni nani atapata HASARA?Tumechoka kupelekeshwa,na sisi wananchi siku tukaamua yetu hizo mechi zitabaki stories.
Hii ni sawa na sisi walevi Tanzania nzima tugome kunywa pombe yoyote kwa mwezi mzima nadhani nchi inaweza kuelewa ni nini mchango wetu katika uchumi wa nchi,ngojeni tujitambue


Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…