Bwana we hii nimekutana nayo jana bush moja wanapaita bihawana-Dodoma.
Somebody kapoteza muda wake kabisa kaandika kwenye ukuta wa choo yafuatayo
Usinawe haya maji utawashwa sana
Cha kushangaza kuna jaba limejaa maji mpaka shingoni,niliganda pale natafakari kama dk 3,5 nilichokifanya na mimi anajua mungu.