Ndiyo. Tukitaka povu tunakwenda huko jukwaa la siasa. Hapa kwa kweli ni mahali patulivu pa kucheka na kurelax. Natamani sana paendelee hivi hivi bila ushabiki wa kisiasa usio na maana wala mambo ya dini. Huyu mchawi wa Kipare ametupatia kijiwe kizuri cha kupumzikia kwa kweli
Mi nishawahi, baada ya kuangalia series ya 'Strike Back' usiku, nakwambia mimi ndio nlkuwa commander wa ile timu, dadeki, sivyo nilivyokuwa namimina risasi! 🤣 🤣 🤣 Hadi wa leo naitamani sana ile ndoto!😂
Fika huko Malinyi, Mbingu, Mahenge, Ngeta, Ifakara, Ruaha, Kiberege Morogoro.
Samaki maarufu sana huyo pande hizo.
na wenyeji wa huko ni watalaam sana kwenye kumuandaa.
Nadhani hata ziwa Victoria yupo wakerewe waanamwita Ngere