Vituko mitandaoni. Tupia chako

Dr. Kina** akitupiga lecture akiwa ameproject pc yake pale UDOM.
Akafungua Firefox, ile kuandika herufi ya kwanza ya pili[emoji1][emoji1] zikashuka suggestion za XXX kibao[emoji16][emoji16] aliclose kwa speed ya umeme
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sana dah!! Huo ujinga unatokea sana inabd uwe makini sana unapotumia projector kwa pc yako unapokuwa darasan, make sure ujinga ujinga wote upo closed!! Kama hii ilitokea wkat wetu pia, tulikuwa tunatumia pc ya jamaa sasa kuna player nlkuwa najaribu kuifunga sijui ikawaje ika pop up halafu jamaa alikuwa anaangalia vitu vyetu, mara pc nayo ikaganda hapohapo (si unajua vi dual core tena vimejazwa vitu kibao vinakuwa vizito) dah ilikuwa aibu sana aisee, ikabd tuchomoe waya fasta ili kila kitu kilkuwa kimeonekana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji53]
 
Hahahahaaa... Dadekiii... Usipime.. Poleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…