Vituko mitandaoni. Tupia chako

Jamaa yetu bado haamini kilichotokea.

Ukuu wa Mungu unaonekana hapa.

Katibu Mkuu wa CCM, mara
Katibu Mkuu Kiongozi, mara
Mbunge asiye na Jimbo.
Muda mfupi tu kila kitu kimefanyika na haamini kilichotokea.
Kama ni mchamungu hatasumbuka.
Kama alikuwa mjivuni na kiburi kwa sababu ya hivyo vyeo lazima atateseka.
Tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kila jambo.
 
Huyu hana shida. Ni tajiri tayari. Hapo anavuta mshiko mrefu wa posho za ubunge bure tu. Na baada ya miaka mitano miliono 300 zinamsubiri. Na nadhani ni balozi pia...

Tunajifurahisha tu mitandaoni humu tukidhani kuwa hawa jamaa wameanguka lakini ukweli ni kwamba wameanguka huku wakiwa wamesimama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…