Ina maana miaka yote hiyo 21 huyu mama alikuwa hakanyagwi au alikuwa anapata huduma nje kwa mabaharia? Na alijua kuwa jamaa ana hiyo ishu kabla ya ndoa? Ila wamevumiliana sana. Pengine tamaa ya mali imewaingia kwa sababu wangeacha hata kupelekana mahakamani wakapeana talaka tu kimya kimya ili kulinda siri ya baharia.
Ndoa hizi zimeficha mengi sana!!!