Vituko mitandaoni. Tupia chako

Niliwaza hivi hili gazeti halina mhariri mkuu. Shenzi kabisa hawa jamaa
 
Mkuu elimu yetu bado ipo ICU kwa staili hii

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 

Kwanza kulikuwa na ulazima gani wa kuandika Kingereza ilhali Rais wetu mtu wa Pwani kabisa?,ona sasa wameanza kutimuana!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…