. Na mhariri wa gazeti. Imagine mambo yako hivi kwa jambo dogo kama hili, kuna umakinifu kweli hata kwenye mambo mazito na yenye maslahi kwa taifa? Sasa naamini hata mamikataba yale ya madini ambapo tulikuwa tunapata asilimia 5 tu jamaa walikuwa wanaangusha misahihi tu hata bila kuyasoma hayo mamikataba yanasemaje. Yaani hata Chifu Mangungo wa Msovero ana unafuu kwa vile yeye hata lugha ya jasusi Carl Peters hakuielewa. Inahuzunisha !!!