Mti huu una miaka zaidi ya miaka moja.
Mti huo umeishi kwenye mapambano makali ya upepo mkali na vimbunga kwenye eneo la Anum mashariki ya Ghana.
Kwenye eneo hilo lenye mmonyoko, nyumba kadhaa zimeporomoka na kuacha mti huo ukipambania maisha yake.
View attachment 1737050