Mkuu kuna picha uliwahi kuiweka imepigwa ufukweni kuna jamaa anapita anaendesha baiskeli amevaa kanzu nyeupe na kuna watu wengine wachache wanaonekana kwa mbali! Halafu ule ubluu wa bahari na mbingu ni kama umeongezewa effects hivi umekozwa kama bado unayo tafadhali naomba uiweke hapa!