Mkazi wa Bukombe akiwa mbele ya kibanda alichojenga kuhifadhi mbuzi wake kuwakinga na Fisi wa kufuga wanaolanda landa mitaani ambao ni tatizo kwa wafugaji wa mbuzi.
"Ndevu zangu zina umri wa miaka 20 sasa.
Nilianza kufuga tangu mwaka 2000 nikiwa Chuoni Massachusetts.
Nilifanya hivyo ili kujipatia kiki, hivi sasa kila ninakopita watu wananishangaa na kugombea kunipiga picha.
Nimepata mialiko kwenye Television kadhaa.
Kwa kifupi ndevu hizi sasa ni kitega uchumi changu"