Mfanyakazi wa hifadhi ya taifa ya "Malakere National park" nchi Afrika kusini, Malibongwe Mfile mwenye miaka 27 Ameliwa na Simba ndani ya hifadhi hiyo wakati akiwafuatilia Chui waliofungwa vifaa maalum "tracking device" ambazo zinatambua mahali walipo.
Bwana Mfile alikuwa pekee kwenye pori hilo akiwa anaendesha gari aina Jeep, aliposhuka Simba hao walimvamia na kumla.
Hata hivyo Simba hao wawili wameuwawa
View attachment 1720832