Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Hivi haya mambo ni kweli yapo duniani?Usiku wa viwanjaView attachment 1720516
Hivi haya mambo ni kweli yapo duniani?
Nitatembea labda nitaona.Tembea uone kuna siku unasema kabisa hichi nacho kiona ni devil himself!
Nitatembea labda nitaona.
Huwa nadhani ni bongo movie ama stori za kusadikika.
[emoji23][emoji23] aisee kwanza unauliza kwa upole nani alizima switch? Linatokea jinga moja linakujibu "niliona simu inaweza kuungua nikazima. Ujue kulaza simu chaji sio vizuri."Hahahahaha, unaweza kuangua kilio[emoji56]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] aisee kwanza unauliza kwa upole nani alizima switch? Linatokea jinga moja linakujibu "niliona simu inaweza kuungua nikazima. Ujue kulaza simu chaji sio vizuri."
Uje nikutembeze usiku ukokawaone warembo wenzako wanaojianika mitaani kuuza tupu zao kama wanauza bagia na kalimati[emoji1787][emoji1787]Hivi haya mambo ni kweli yapo duniani?
Angalia comments za wananzengo kwenye uzi huu....Mbona km kuna kitu hakiko sawa hilo pozi?
[emoji1787][emoji1787]Toka tuku chanje mzee unaogopa nini chanjo ni salama hiiView attachment 1720651