MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,219
- 152,219
Jibu kama wewe ndie mama hapo
Okota hiyo mipira ukatupe nje.Jibu kama wewe ndie mama hapo
Mi napiga mtama halafu namgaragaza kwenye huo mchuzi uliomwagika hapo chini halafu simuogeshi namuacha hivyo hivyo hadi usiku atakapokwenda kulalaOkota hiyo mipira ukatupe nje.
Hakuna sababu ya kumchapa kashaharibu😁,hapo ni kumkabidhi apasefishe mbona hatorudia tena.Mi napiga mtama halafu namgaragaza kwenye huo mchuzi uliomwagika hapo chini halafu simuogeshi namuacha hivyo hivyo hadi usiku atakapokwenda kulala