#HABARI Asteroidi kubwa kama jengo refu, iliyopewa jina 2025 FA22, itapita salama karibu na Dunia tarehe leo 18 Septemba 2025, kwa umbali wa zaidi ya maili 520,000 — mara mbili zaidi ya umbali kati ya Dunia na Mwezi‼️👀
Asteroidi hiyo iligunduliwa kwa mara ya kwanza mwezi Machi 2025, na itasafiri kwa kasi ya zaidi ya maili 24,000 kwa saa, bila kuleta tishio lolote kwa sayari yetu.