King Kong III jamaa Yako kafika hatua hii
Wewe ungekua vizuri kimaisha ungekuwa unatukana tukana watu ovyo kwenye simu zao. Mzee wa ovyo kabisa huna lolote wewe unafikiri kuwa maarufu hapa mtandaoni kila unachoshauri na kuongea ni lazima watu wakifuate umekuwa nani wewe? Kafie mbele huko.ππππ anapata nafuu ya maumivu mengi aliyonayo rohoni mwake.. Ni kijana aliyepigika kimaisha na kifikra na anadhani madhila yake yamesababishwa na Mimiπ
Hili lijamaa bado lipogoππππππ anapata nafuu ya maumivu mengi aliyonayo rohoni mwake.. Ni kijana aliyepigika kimaisha na kifikra na anadhani madhila yake yamesababishwa na Mimiπ
Hahahaa huyo Dogo huwa simuelewi kabisa ,naona kama comedian flani hivi.King Kong III jamaa Yako kafika hatua hii
Mbona kama unajistukia?ππππ anapata nafuu ya maumivu mengi aliyonayo rohoni mwake.. Ni kijana aliyepigika kimaisha na kifikra na anadhani madhila yake yamesababishwa na Mimiπ