Majuto ni mjukuu. Ndoa bubu za chuoni madhara yake ni makubwa kimaumbile na hata kisaikolojia. Kuna watu wameumizwa sana baada ya kutumika katika hizi ndoa bubu kwa miaka mitatu mizima; na baadaye kuachwa. Madhara ya matumizi ya P2 kiholela, vijiti, kutoa mimba na mengineyo majuto yake ni makubwa. Mungu na Awasaidie!