Vituko mitandaoni. Tupia chako

View attachment 3225562
πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜.

Mmesikika wanaume.
Tatizo mnasemaga nusu ukweli. Mbona mnajisahulisha kusema kwa hao wanawake ndio wazuri, wenye titi tako na sura zuri mpaka hayo mavazi yao yanawapendeza na kuo ekana vizuri.

Hao wenye akili hawana uzuri bwana na hatuwataki kama nyie wanawake msivyotutatak sie ambao hatuna hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…