Vituko mitandaoni. Tupia chako

Sema umasikini mbaya sana sana.

Nishawahi lala njaa siku moja first year mbona nililia na uzi nikaleta humu ndani sio kwamba sikula la hasha nilikula makande sema ndo hivyo sikushiba alafu yalikuwa mabaya yaani cha mtu mavi nimeamini.

Sasa ivi namshukuru Mungu nakula utamu utam ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€.

Nikipata chance ya kuiba kazini lazima nipite nayo you never know chakula na pesa tamu bana ๐Ÿ˜๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›
 

Kwa mioyo kama hii ya vijana wetu, ufisadi utakaa uishe kweli? ๐Ÿ˜ณ

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ