Wanawake wanapenda kudanganywa!
Wewe unamuhaidi range na yeye anaamini wanaoonga range ni wale watu wazima umri kama babu yangu GrahamsTate Mkuu Kikwete, wazee wa miaka 50 huko
Wewe kijana mdogo kabisa
Umesema sahihi Mjukuu, Kijana akisema atuige Wazee kutoa zawadi za Ukubwa huo atajikuta hadi anafikisha miaka 60 anakuwa hajanunua hata Kiwanja cha 30x30 cha kuwaachia urithi watoto wake 🙌😜