Hii juzi ilimkuta mama angu
Usiku aliniaga kua kesho asubuhi naenda kwenye seminar na wamama wenzake
Alfajiri namsikia anapiga mswaki huku anaongea na simu😂 'nisubirini ndio natoka dk 0 tu nafika kituoni'
Wenzake wameshafika yeye ndo anaenda kuoga nilimcheka sanaaa😂