Wenzetu wana msimamo sio legelege kama sie. Wee kupigana vita na mmarekani miaka yote alafu mzee mzima ananyanyua mikono sio kitoto. Hawa jama ukisikia watu wana imani ndio hawa. Taliban peponi moja kwa moja.
Ah jamani kushare kupo tuu haijalishi ni mlokole au mfuasi wa shetani. can we all just relax and just keep sharing tem mbususus....afterall, its natures sweetest fruit