Kuna watu akirudishiwa asubuhi hata mchana haifiki wajanja watakuwa wamesharuka nayo tena!π₯΄π₯΄π₯΄
View attachment 2983779
View attachment 2983705
Mkuu Watu8 Mzee wa kupambania ERoni nawakumbusha, baada ya shoo hakuna kusinzia. Hiki kizazi cha 2000 wana ujasiri wa ajabu sana π
Miaka 100 πKhaaaa! π
Hii picha itabidi nimpige mtoto wa mama mkweπ€Έ
Jamaa nae kazingua sana. Unapigwaje picha hiyo? πHahaha....
Mchuchu kaona sehemu pekee ya kupata selfie ni pembeni ya uwemba...
Hahaha....
Mchuchu kaona sehemu pekee ya kupata selfie ni pembeni ya uwemba...
Wanaume itabidi muwe mnapaka mafuta mwili mzima, makalio yamepauka hivyoo DuhhJamaa nae kazingua sana. Unapigwaje picha hiyo? π