Vituko mitandaoni. Tupia chako

UGUMU WA MAISHA si wa kuchekea. Unatokana na kukosekana kwa ajira, gharama za maisha sababu ya mfumuko wa bei na mzunguko duni wa fedha. Sasa hivi vijana ni mwendo wa KUBETI, KUTAPELI (hasa kutumia simu) KUKABA, ULEVI, nk. Ishara hizi ni dhahili kuwa kila mtu atafikiwa. Ni SUALA LA MUDA TU!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…