Vituko mitandaoni. Tupia chako

Wenzetu wanatumia ubongo wao vizuri sana. Ila sie waafrica akili zetu nyeusiii kama ngozi zetu.
Hapa Afrika us...ge mtupu.
Halafu kitakuja kijitu kikwambie eti shida za Afrika yote ni CCM.

Shida ya Afrika ni wafrika wenyewe.
Wasomi, Viongozi wa Dini, Wananchi wote Utopolo.
Tumekalia ngono na ulozi tu.
Msomi na maamuma wote akili zao zinafanana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…