Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mgonjwa.......👇

Naumwa daktari nina ugonjwa wa kupoteza kumbukumbuku...

Daktari.......👇

Pole sana kwa kuumwa kijana..... ugonjwa huu ulianza lini?

Mgonjwa........👇

Ugonjwa gani? 👧
Huyu atakuwa mo akiulizwa kuhusu kununua simba 🤣🤣🤣🤣
 
Timu ya Taifa baada ya kutwaa taji la Afrika Mashariki na kati mwaka 1994.

Kuna Reginald Mengi, yeye alisimamia timu kifedha.
Kuna Waziri wa michezo Profesa Sarungi,
Sirlersaid Mziray Kocha Mkuu.
Mustafa Hoza, Edibily Lunyamila,
George Masatu, Steven Nemes, Said Mwamba Kizota, Joseph Katuba,
Hussein Aman Marsha, Mwanamtwa Kiwelo, Deo Mkuki, Nteze John Lungu na wengineo.
Wamepeleka Kombe Ikulu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…