Inasemekana mtoto wa kuku wa siku moja (kifaranga) ana akili kuliko mtoto wa binadamu wa miaka minne, ila mtoto wa binadamu kadri anavyokua ndio akili yake kuongezeka na ya mtoto wa kuku hupungua, ila kuna watoto wengine wa binadamu akili zao hubakia zile zile za miaka minne hadi uzeeni wao , moja wapo ni huyo mama.