Bora chemistry kidogo,, ila wao wawili hapana ππ.. Hukutane na mwalimu wenye sifa anaingia kufundisha Waves soon after kunywa uji break π€£π€£π€£π€£π€£π
Wazazi/Walezi tujitahidi kuokoa hichi kizazi. Tuwe na mda wa kujua maisha ya watoto wetu kazi zisitufanye tuje kujutia badae, wafanyakazi wana nafasibyao ila bado unawajibika kama mzazi kulea mtoto wako kwa kuwa namda na watoto wako