Dear Ex..natamani ushambuliwe na nyuki..unapojaribu tu kutoroka gari linakugonga..wakiita ambulance basi ipate ajali na lori ambalo litaisukuma mtoni..then ukuliwe na samaki..samaki huyo huyo atakamatwa na mvuvi ambaye atauza
kwangu mimi. na Nikifika kukaanga samaki nitalala nikisahau kuwa nakaanga hadi kuungua.. kisha nitupe kwenye pipa ili mbwa wa jirani zetu aweze kumtunza.
View attachment 2882289
Sent using
Jamii Forums mobile app