Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mnamo 1972, Charlie Chaplin Alipata Tuzo Yake ya Kwanza na ya Pekee ya Oscar Kwa Kuwa Mtu Mcheshi Zaidi Katika Historia. Tuzo hiyo Ilikuwa Jengo la Dhahabu la Karati Ishirini na Nne (24) na Inagharimu Euro Milioni Moja. Alipata Shangwe Na Makofi Kwa Muda Wa Dakika Kumi Na Mbili (12) Katika Sherehe Hiyo. Hii ilikuwa pongezi ya muda Mrefu Zaidi Kuwahi kutokea katika Historia Duniani. Muda mfupi Baadaye, Tuzo Iliibiwa!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…