Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Msiambiwe ukweli jamani ๐ฌ๐๐
Hahahaha ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ.. mnapenda Sana ugali
Sasa kuna chakula gani hapa duniani zaidi ya ugali?Hahahaha ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ.. mnapenda Sana ugali
Nilikua kwa ndugu zangu huko likizo moja, sikuona hata wakipika tambi, au ndizi au viazi au chips.. Kila siku ugali na wali tu๐๐, Tena Ugali ni mgumu jamaniSasa kuna chakula gani hapa duniani zaidi ya ugali?
Burger?
Pizza?
Hapo mke mkubwa anatamani atumie mwiko wa chuma ๐Katika utamaduni huu, ikiwa una nia ya kuoa mke wa pili, mke wa kwanza na mke wa pili unaetaka kumuoa, watatwanga mahindi kwenye kifua chako.. Ukistahimili uchungu huo, utaoa mke wa pili.. Nafikiria mke wa Kwanza nguvu atakazotumiaView attachment 2864689
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo mke mkubwa anatamani atumie mwiko wa chuma [emoji23]