Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hao ni viumbe wa Mungu.
Wapo Duniani kwa matakwa yake Mungu .
Na bila shaka kila kiumbe yupo Duniani kwa sababu maalum ambazo anazijua Mungu mwenyewe.
Ningependa kujua sababu ya mende. I hate them! Sijui hata wana faida gani yaani. Mbu angalau wanaeneza magonjwa na wanasaidia kupunguza population. Mende sasa. Hakuna hata ndege ambaye anamla. Pure trash 🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…