Vituko mitandaoni. Tupia chako

Inashangaza sana hawa jamaa. Kwa nini wanataka kutambuliwa? Wana uspesheli gani ambao watenda dhambi wengine hawana? Imagine wezi, wazinzi, wauaji, waongo na waabudu sanamu nao wakitaka kutambuliwa rasmi. Nini kitatokea? Kwa nini homosexuality inachukuliwa kama privilege fulani hivi na wanataka kudekeshwa kama last born wa watenda dhambi wote? 😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…