Kheri ya kutimiza miaka kadhaa ndani ya jf mzee
Shimba ya Buyenze,
Mungu akulinde/akuzidishie mibaraka mzee wa busara,
Naamini kila jambo lina sababu,basi jf imekuwa sababu ya kujuana kwa mwandiko na tukaishi kama family,
Mungu atulinde sote atuepushe na fitna tuendelee kufurahi pamoja humu ndani,,,,atujaalie Afya njema maana Afya njema ni mtaji,,,,
Nawapenda wote humu ndani,
All the best every one❤