engine rock
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,263
- 1,106
Utajuaje kama tumesepa wote?Changamoto ipo tena hapa,Mungu akiamua anaamua bhana kama tutasepa wote au vipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Utajuaje kama tumesepa wote?Changamoto ipo tena hapa,Mungu akiamua anaamua bhana kama tutasepa wote au vipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachafu tuuuBongo vyoo vingi ni vya kopo au kibomba, ila watu wamejazana supermarket wanagombea toilet paper. Kwani toilet paper ni dawa ya corona?
Maongezi ya kawaida hayana shida mkiwa ukaribu wa kiasi gani? Au unafikiri mask Ni ya kazi gani? Bahati yetu Tz hatujaambukizwa kwa wingi kama nchi nyingine, watu wanaambiwa wasitoke nje, huko kuongea unakokushadadia kutatoka wapi? Mkisimama katika kundi muache nafasi ya miguu 6 kati ya mtu na mtu, ni tahadhari tu, ukipata mtu au watu wanaokubaliana na unayoyataka, endelea, uzuri kwa Tz waliothibitika ni chini ya 10, na kuna uwezekano usienee kote, lakini bila ya kufuata maagizo ya wataalamu, wote tunaweza athirika.Kwa hyo mtu kutoongea na wewe ana uelewa????
Hatua zinasema kuwa mtu anawe mikono,na kutoshikana..ila maongezi ya kawaida hayana shida sio kukimbizana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maneno ya mwisho nimeyapenda.Unajuaje kama hauna Corona wala nini (umepima) na kama umepima hauna sisi tutajuaje ?, Probability inakwambia watu waliotoka sehemu zenye huu ugonjwa ndio wana uwezekano (uwezekano sio kwamba wanao) mkubwa kuwa nao.., sasa unataka wacheze kamali na maisha yao ?
Kuwa muoga kama Kunguru upate kuishi maisha marefu....
Kama unatokea DSM unapanda gari za kwenda Bagamoyo, Ukifika Bagamoyo unachukua gari za Kiwangwa kuja Fukayosi shule. Ukifika Fukayosi Shule chukua pikipiki mwambie dereva akupeleke Kijiji cha Mashauzi..!
Ilani(Risks): kipindi cha mvua barabara inaharibika sana, kuna ishu ya urasmishaji ambayo bado haijakaa sawa na ng'ati.
Karibu Mkuu.
Watu uoga umewazidi snaa!Dah!! Sikujua kwamba vijijini somo la Coronavirus limewaingia vema namna hii! Hawa somo limewaingia vizuri kuliko serikali ambayo hapo kabla ni kama waliodhani Coronavirus haiwezi kuingia Tz!!
Hamna namna, hao watu wa vijijini waendelee tu kuwatimulia vumbi nyama nyinyi! Mnadhani wamesahau mlivyokuwa mna-export Ngoma toka mjini na kwenda kuwadondoshea jumba bovu huko vijijini!!! Kama nyie wengine Mikorona yenu mnaipata baada ya kupanda ndege halafu mje kutumwagia wengine ambao hata hiyo ndege yenyewe tunaishia kuiona ikiwa angani tu!!!
Ok mkuuMaongezi ya kawaida hayana shida mkiwa ukaribu wa kiasi gani? Au unafikiri mask Ni ya kazi gani? Bahati yetu Tz hatujaambukizwa kwa wingi kama nchi nyingine, watu wanaambiwa wasitoke nje, huko kuongea unakokushadadia kutatoka wapi? Mkisimama katika kundi muache nafasi ya miguu 6 kati ya mtu na mtu, ni tahadhari tu, ukipata mtu au watu wanaokubaliana na unayoyataka, endelea, uzuri kwa Tz waliothibitika ni chini ya 10, na kuna uwezekano usienee kote, lakini bila ya kufuata maagizo ya wataalamu, wote tunaweza athirika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu siyo kweli. Kila siku natokanje. Siyo kila kitu kwenye Google ni kweliUnashangaa hiyo? Denmark hauruhusiwi hata kutoka nje ya nyumba yako...askari wametapakaa nje wanapulizia madawa...
groceries n.k unaagiza online na hata yule anayedeliver hauonani nae..yeye anafika anaweka nje ya mlango wako anaondoka
Shule wanasoma online saivi. Lakini kwasababu ni wazungu hauwez kusema ni "washamba"
Hakika.Mkuu siyo kweli. Kila siku natokanje. Siyo kila kitu kwenye Google ni kweli
Hahaha
Sema Mkuu Haya machimbo tunakaa wachache sana..! Sidhan kama Mkuu Fyddell will make it..
Hata Serikali huwa inatimba kwa kubeep sana..
Ukiwa huku kuzozana na Serikali juu ya kufunga mipaka ni kusindikiza wadau tu..!
Maana ni kama tupo kwenye kanchi kanako jitegemea kenye mipaka ya asili isiyotikiswa kizembe..
Tunaendelea kufuatilia sakata la hapo Tz kwa karibu kabisa. Poleni, naona faili zinazidi kuchomolewa kutoka zilipowekwa..
Nchi yao imejipanga... ushamba hapo uko wapi wakati polisi wanazuia watu kutoka nje?Unashangaa hiyo? Denmark hauruhusiwi hata kutoka nje ya nyumba yako...askari wametapakaa nje wanapulizia madawa...
groceries n.k unaagiza online na hata yule anayedeliver hauonani nae..yeye anafika anaweka nje ya mlango wako anaondoka
Shule wanasoma online saivi. Lakini kwasababu ni wazungu hauwez kusema ni "washamba"
Maeneo hayo ni aina gani ya kilimo kinacholipa mkuu?Kama unatokea DSM unapanda gari za kwenda Bagamoyo, Ukifika Bagamoyo unachukua gari za Kiwangwa kuja Fukayosi shule. Ukifika Fukayosi Shule chukua pikipiki mwambie dereva akupeleke Kijiji cha Mashauzi..!
Ilani(Risks): kipindi cha mvua barabara inaharibika sana, kuna ishu ya urasmishaji ambayo bado haijakaa sawa na ng'ati.
Karibu Mkuu.
Nani kakuambia nimegoogle?Mkuu siyo kweli. Kila siku natokanje. Siyo kila kitu kwenye Google ni kweli
Bongo vyoo vingi ni vya kopo au kibomba, ila watu wamejazana supermarket wanagombea toilet paper. Kwani toilet paper ni dawa ya corona?
😂😂😂😂Dah!! Sikujua kwamba vijijini somo la Coronavirus limewaingia vema namna hii! Hawa somo limewaingia vizuri kuliko serikali ambayo hapo kabla ni kama waliodhani Coronavirus haiwezi kuingia Tz!!
Hamna namna, hao watu wa vijijini waendelee tu kuwatimulia vumbi nyama nyinyi! Mnadhani wamesahau mlivyokuwa mna-export Ngoma toka mjini na kwenda kuwadondoshea jumba bovu huko vijijini!!! Kama nyie wengine Mikorona yenu mnaipata baada ya kupanda ndege halafu mje kutumwagia wengine ambao hata hiyo ndege yenyewe tunaishia kuiona ikiwa angani tu!!!
Nimewapenda, wanafanya vizuri sana, na waendelee hivyohivyo mpaka janga hili litokomee lilikotoka!Hii imekaa kama kichekesho lakini ni vyema pia elimu itolewe vijijini sana tena sana.
Japo kuna baadhi wana mwanga kwa jjinsi gani ya kujikinga na korona lakini bado kuna watu wengine Holla!
Huu ugonjwa wa Korona umefanya watu wengi kupaniki pasipo na sbabu yoyote ya maana...na hii yote ni ya kila mmoja wetu kujifanya mwandishi wa habari.
Yaani unaweza kutoka mjini alafu unarudi kijijini watu wanakaa umbali na wewe takribani kama mita tano huku wakikupungia mkono tena wakikimbia cha kushangaza zaidi usishangae hadi kuna watoto wa majirani wanaweza kupewa onyo kutokua karibu na mtu mwenyewe.Kibaya kabisa wajue either umetokea Dar es salaam,Arusha au Moshi mjini..Alafu hapo mtu hana corona wala nini!!!
Yaani imekuwa desturi sasa watu wa mjini hawaaminiki tena,ukitaka kukaa na wana mpige story nao hawaelewek kila mtu anakuepuka, wanakutenga kishenzi shenzi tu!!!
Aiseew Tanzania bado tupo nyuma sana!
Pia baada ya bandiko nilipojaribu kuangaza angaza facebook nilikutana na Updates ya namna hii
KENYA: MTU MMOJA AUAWA NA RAIA KWA KUDHANIWA ANA #COVID19
> Polisi wanakisaka kikundi kilichomuua Hezron Kotin
> Vijana hao walimshambulia mtu huyo kwa silaha, na kupelekea kifo chake baada ya kumtuhumu kuwa na #coronavirus
#JFLeo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hii corona,ikatokea umepiga chafya tu na unao,uliokaa nao wanakwepaje?Kwa hyo mtu kutoongea na wewe ana uelewa????
Hatua zinasema kuwa mtu anawe mikono,na kutoshikana..ila maongezi ya kawaida hayana shida sio kukimbizana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mwenyewe niko bush, raia huku bush wameanza kuijua korona baada ya shule kufugwa.Mkuu tayari umeshakimbilia kijijini. 😂
Mjini kushachafuka, muda si mrefu tutaanza kurekodi visa kibao.