Vituko Compilation : Tupia na vyako

wanaume tunafanya mengi even kuumia ili kufurahisha wenzetu, unajiona shujaaa kumbe mwenzio akilini anajisemea " ona bwege hili limelala hapa.."
 
komaaa dogo huwe kama Anodi
 
jamaaa anabipu kifo, kamba hailali bure atakuja kujinyonga tu
 
sister mauzo yako yametumbuliwa
 
baba acha haraka tumpeleke mgonjwa taratibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…