Vitu vya ndani vinauzwa!

Vitu vya ndani vinauzwa!

Shamkware

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2013
Posts
1,755
Reaction score
2,303
Kuna kitanda 5 kwa 6 pamoja na Godoro lake, Tv nchi 18 pamoja na deki yake pia na meza yake!
Vitu vipo Morogoro. Piga simu hapa: 0714138846
 
Marketing strategy, hiyo 'deki' ya tv ungeigawa bure tu.
 
morogoro kubwa sana mkuu be specif Weka bei tukuelew tv ya aina gan flat au chogo,kitanda cha mbao gan? godoro la kampun gan umev2mia miaka au miez mingap alaf uweke na bei zake ili tufanye comparisons na v2 vipya
 
Kwanini agawe bure tena?, by the way mleta mada hujasema unaviuza bei gani kila kimoja

bei tunweza negotiet tu kwa ate taka anipm au anicall nimpe bei ni simpo hata kama utataka kimoja sema tu tutaelewana:
 
morogoro kubwa sana mkuu be specif Weka bei tukuelew tv ya aina gan flat au chogo,kitanda cha mbao gan? godoro la kampun gan umev2mia miaka au miez mingap alaf uweke na bei zake ili tufanye comparisons na v2 vipya

tv ni hitachi ya kichogo ila kio flat
deck ya Sumsang
Godolo ni QLF DODOMA
mbao sijui aina gani!
Vipo Morogoro mjini
 
kwa nn unauza? km tv utaangalia bar, haya na pa kulala je? unataka kulala chini? unaumwa mgongo ama? y unauza? ukikosa mteja ni-pm!
 
kwa nn unauza? km tv utaangalia bar, haya na pa kulala je? unataka kulala chini? unaumwa mgongo ama? y unauza? ukikosa mteja ni-pm!

labda kamjaza wa kusoma kibend anakimbia msala

namshaur ahamie ntwara kule hawatanstukia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom