Ukiona hvyo mkuu ujue ni changamoto, mfn, unadaiwa kodi, ada za watt na nyumbani hauna kazi,Uuzaji wa vitu vya ndani unakua kwa kasi.
Kweli mkuu,mambo ni Mengi ila ugumu ukiongezeka na mafanikio nayo yaja.Ukiona hvyo mkuu ujue ni changamoto, mfn, unadaiwa kodi, ada za watt na nyumbani hauna kazi,
Mkuu hali inatisha,inaongesha ni jinsi gani mtaani palivyo pagumu usawa huu.Uuzaji wa vitu vya ndani unakua kwa kasi.
Anaweza kumpata msukuma ameuza pamba yake akajibamiza mwenyeweThamani ya vitu na bei ni mbingu na ardhi
Asante mkuu...
Uuzaji wa vitu vya ndani unakua kwa kasi.
Mkuu unauza ghali sana umezidi ata bei ya dukani vikiwa vipya, jiko tena westpoint plate mbili na mtungi mkubwa plus [emoji809] gas bei 230000,. Vipyaaaa.Sofa.....200,000/=
TV ndogo(tumbo)80000
Mihani gasi na jiko 250000
Pm ntatoa namba,
Npo dar...
[emoji23] [emoji23]Sasa umemtukana mwensio kafanya nini!? sianauza vitu vyake? watoto wa dawa mnavituko!
na sisi wa mkoani tumeshawaandalia viwanja vya kutosha. saivi kale ka utani sijui wanaume wa mtwara na wanaume wa msumbiji kanajifuta taratiibu. watabaki waliozaliwa huko ila kwa wahamiaji looh! na hapo bado 20.1. 2017 rais wa dunia ataongeza wageni dar. lazima kujae, mafuriko yatakuja huku tu. Shimba ya buyenze. zugu nsabi wane tubageshe bhanang'weli!!Uuzaji wa vitu vya ndani unakua kwa kasi.
King'amuz cha azam tv huuzi kakaSofa.....200,000/=
TV ndogo(tumbo)80000
Mihani gasi na jiko 250000
Pm ntatoa namba,
Npo dar...