Vitu vya ndani vinauzwa

zebanga watelanga

JF-Expert Member
May 3, 2013
862
398
Kitanda cha mning cha sita kwa sita nagodoro bei 270,000
Kikabati chambao kidogo bei 90,000
Kapeti la nyoya upana futi 5,3 urefu futi 7,3 bei 280,000
Redio subwoofer Samsung bei 180,000 ila remote imeharibika
Sababu yakuza nataka kubadilisha vitu
vipo Dar es salaam sehemu Mbagala Kichemchem
Simu 0712690760

Picha hizo
 
Attachments

  • 029.JPG
    029.JPG
    138.6 KB · Views: 290
  • 030.JPG
    030.JPG
    117.4 KB · Views: 155
  • 031.JPG
    031.JPG
    162.4 KB · Views: 185
  • 020.JPG
    020.JPG
    103.5 KB · Views: 148
  • 021.JPG
    021.JPG
    85.6 KB · Views: 151
  • IMG_20160425_170349.jpg
    IMG_20160425_170349.jpg
    58.1 KB · Views: 146
  • IMG_20160425_170359.jpg
    IMG_20160425_170359.jpg
    125 KB · Views: 152
  • IMG_20160425_170410.jpg
    IMG_20160425_170410.jpg
    151 KB · Views: 128
  • IMG_20160425_170421.jpg
    IMG_20160425_170421.jpg
    161 KB · Views: 128
Ukishatapeliwa leta namba tulinganishe na za walotaka kunitapeli Mimi ambao ni wa JF.

Tengeneza mazingira ya kufanya biashara na watu unaowafahamu na sio mtandaoni. Wengi wanatumia technic ya kuja kuona vitu na kupafahamu kwako ili wapange tukio.

Take it or leave tu, utanipa mrejesho usipokuwa mjanja.
 
hahaha ulitaka kutapeliwa eee jf... humu kuna mpaka panya road
 
Kitanda cha mining cha sita kwa sita nagodoro bei 280,000
Kikabati chambao kidogo bei 90,000
Kapeti la nyoya upana futi 5,3 urefu futi 7,3 bei 180,000
Redio subwoofer Samsung bei 200,000 ila remote imeharibika
Sababu yakuza nataka kubadilisha vitu
vipo Dar es salaam sehemu Mbagala Kichemchem
Simu 0712690760

Picha hizo
 
Back
Top Bottom