fadhilivicent19
Member
- May 19, 2015
- 26
- 0
Waheshimiwa kama living sina nina cheti cha kuzaliwa tu na kitambulisho shule naweza kwenda JKT bila kuzingliwa?
Wa mujibu huitaji vyeti as long as unajua jina lako na kituo ulichopangiwa, beba hela ya kutosha sababu hautoshiba msosi unaopewa japo ni mwingi, vingine vinategema na wapi unaenda ,mahitaji ya Mlale au Mafinga si sawa na Ruvu so utapata msaada zaidi ukisema umepangiwa wapi.naenda kwa mujb wa sheria ila living xina nina chet cha kuzaliwa tu ???
Kigoma _bulombora
Kigoma _bulombora
Waheshimiwa kama living sina nina cheti cha kuzaliwa tu na kitambulisho shule naweza kwenda JKT bila kuzingliwa?
Kesho safar ndo inaanza
kma huna leaving achana nayo beba tu document zako zngne znaweza kukusaidi baadae hata kwa zali tu kma vle academic certificate ya olev, birth cert na kma una driving lisence ww beba tuu kuna mashav fulan huwa yana hapen so itakusaidia saaana, achana na nyembe coz cku hzi hawaruhusu kutumia nyembe mnakatwa kweny posho yenu hela ya saloon lakin km utataka pure zungu bac utanunua nyembe kulekule kuna maduka kibao haraf kingne temana na hzo habar za kubeba condom ww unaenda kupga koz cyo kufanya ngono, jkt icwe place ya ww kuharbika kitabia ila kma ndyo tabia yako yaan ushaharibka tangu kitambo bac beba ila kuhusu pesa kma kwel zinapatkana bac beba za kutosha saaana maana cku hizi posho kupewa ni mpka six week ziishe na huwq inakuw hta zaid ya six weeks
yangu ni hayo tu AJ 9800 SM JACOB..... mwaka jana ndan ya 838KJ MARAMBA-TANGA