stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 604
- 1,236
VITU VYA KUZINGATIA UKITAKA KUJENGA NYUMBA YA KUPANGISHA.
1. Angalia aina ya watu unaohitaji kuwapangisha Kuna matabaka matano (05) ambayo ni kama IFUATAVYO:-
a). Wanachuo, Vijana walio single wenye kipato Cha uhakika Chumba self Chenye choo Kwa Ndani.
b). Wanafunzi na Watu wa Uswahilini yaani wenye tabaka la chini au Wasio na kipato kisicho na uhakika, Chumba Single choo Nje Cha kushare.
c). Wafanyakazi Wenye familia Ndogo yaani Baba, Mama, Mtoto mmoja mkubwa au wawili, Inatajika Nyumba ya Vyumba viwili, sebule na Jiko.
d). Wafanyakazi Wenye familia kubwa yaani Baba, Mama, Watoto wakubwa au Zaidi ya watatu. Inatajika Nyumba ya Vyumba Vitatu, chumba kimojawapo kiwe Self, choo Cha Ndani, sebule, Jiko.
e). Wafanyakazi waliooa Wenye Mtoto mmoja Mdogo ama lah! Na wanandoa wenye kipato Cha Kati yaani chenye uhakika, Inahitajika Nyumba ya Chumba kimoja Chenye choo pamoja na Sebule
2. Angalia ni maeneo ya Mjini (sehemu zenye mzunguko wa Pesa) au Kijijini(Sehemu zenye mzunguko wa Pesa),
a). Kama ni maeneo ya Mjini (Sehemu Zenye mzunguko wa Pesa na Uzalishaji mkubwa) kwenye Upande wa Ujenzi.
Kuna umhimu mkubwa wa Ramani Kama ukiwa Unajenga Mjini.
KWA UPANDE HUU NYUMBA ZOTE ZINATAWALA ILA ZA CHUMBA SINGLE NI CHACHE SANA.
b). Kama ni Maeneo ya Kijijini (Sehemu zenye mzunguko Mdogo wa Pesa na shughuli za uzalishaji) kwenye Upande wa Ujenzi,
KWA UPANDE HUU ZINATAWALA NYUMBA ZA CHUMBA KISICHO NA CHOO.
Hivyo ni Vitu Muhimu vinavyotakiwa kuvijua kabla ya kuanza kujenga Nyumba ya kupangisha.
KUMBUKA: Kila baada ya miaka 3 Hadi 5 Thamani ya Nyumba ya kupangisha inaongezeka.
Kama Mwaka 2020 ilikuwa elfu 50 kufikia 2025 inakuwa elfu 75 Hadi Laki 1. Inategemea na ukuaji na Mzunguko wa Eneo pamoja na Ukarabati wa Nyumba unaokuwa unaufanya.
Eng James 0743257669
njoo nikujengee

Sakafu, weka tiles(Vigae), Sakafu ya Epoxy, Sakafu ya Terrazzo au zingine zinazoendana na hizo.
Kuta, Rangi ya Silky na Weather guard.
Ceiling board, Gypsum board Yenye finishing ya Ubora.
System Nzuri za Maji safi na taka na Umeme
Weka Fence Kwa ajili ya usalama
Kuna umhimu mkubwa wa Ramani Kama ukiwa Unajenga Mjini.
KWA UPANDE HUU NYUMBA ZOTE ZINATAWALA ILA ZA CHUMBA SINGLE NI CHACHE SANA.
b). Kama ni Maeneo ya Kijijini (Sehemu zenye mzunguko Mdogo wa Pesa na shughuli za uzalishaji) kwenye Upande wa Ujenzi,
Sakafu ya Neel au tile tu na Kama Mbao zinapatikana Kwa Wingi na Bei ni Nafuu weka sakafu ya Mbao.
Kuta, Plasta inafaa Zaidi Kwa Ndani Nje Haina umhimu Sana, Rangi Sio kipaumbele Sana lakini Kama Unaweza kuweka unaweza kupiga plasta Ndani na Nje pia rangi unaweza kuweka rangi ya Maji.
Ceiling board Unaweza kuweka za kawaida au hamna Kabisa ama unaweka ceiling board ya Mbao Kama Mbao zinapatikana Kwa urahisi na Zina Bei nafuu
System ya Umeme ni muhimu Maji safi na taka Sio muhimu
Fence Sio muhimu