hapa kwenye kukazia hukumu nafanyaje, madalali wa mahakama ya mwanzo ni kina nani haoKwanza hukumu hutolewa kwa njia zote mbili maneno Kisha maandishi
Baada ya hukumu atua inayofuata ni kukazia hukumu
Katika hatua hiyo madalali wa mahakama huusika kwa habari ya kukazia hukumu
Ni process tena ya kuimba mahakama ili yale maamuzi yaende kutekelezwa
Hapo hukumu ikishasomwa, utaambiwa ni baada ya muda gani, uenda kuchukua nakala ya hukumu, ukishaipata hiyo nakala hiyo, itategemea inasema nini, kwani kesi za madai nazo huwa ni changamoto sana, kupata haki yako, hata kama mahakama imetoa uamuzi, lazima uwe mbishi kweli kweli!!ukiona hatekelezi kile kilichoamliwa na mahakama , ndio unaenda kukazia hukumu, nayo ni kesi tena!!tatizo la kesi za madai, kama hana kitu cha kukulipa, hawezi fungwa labda wewe ndio uingie gharama za kumtunza akiwa jela!!ndio maana siku hizi kesi za madai ni chache, nyingi sana zinasukwa zinakuwa za jinai!!ukimkuta mpelelezi, mzuri hiyo hiyo ya madai inatengenezwa inakuwa jinai!!hapa kwenye kukazia hukumu nafanyaje, madalali wa mahakama ya mwanzo ni kina nani hao
ok, safi sana. uzuri naidai kampuni na sio mtu binafsi. kawaida mdaiwa anaweza pewa,siku ngapi ili alipe? hii ni mahakama ya mwanzoHapo hukumu ikishasomwa, utaambiwa ni baada ya muda gani, uenda kuchukua nakala ya hukumu, ukishaipata hiyo nakala hiyo, itategemea inasema nini, kwani kesi za madai nazo huwa ni changamoto sana, kupata haki yako, hata kama mahakama imetoa uamuzi, lazima uwe mbishi kweli kweli!!ukiona hatekelezi kile kilichoamliwa na mahakama , ndio unaenda kukazia hukumu, nayo ni kesi tena!!tatizo la kesi za madai, kama hana kitu cha kukulipa, hawezi fungwa labda wewe ndio uingie gharama za kumtunza akiwa jela!!ndio maana siku hizi kesi za madai ni chache, nyingi sana zinasukwa zinakuwa za jinai!!ukimkuta mpelelezi, mzuri hiyo hiyo ya madai inatengenezwa inakuwa jinai!!
Inategemea ,na uwezo wa mdaiwa!!lakini kama ni kampuni, nadhani hakimu atakuwa amelizingatia hilo, hatawapa muda mrefu sana!!omba mungu wasije kuwa wasumbufu tu,ok, safi sana. uzuri naidai kampuni na sio mtu binafsi. kawaida mdaiwa anaweza pewa,siku ngapi ili alipe? hii ni mahakama ya mwanzo
inaweza fika mwezi? nauliza hivi sababu nitatakiwa kusafiri.Inategemea ,na uwezo wa mdaiwa!!lakini kama ni kampuni, nadhani hakimu atakuwa amelizingatia hilo, hatawapa muda mrefu sana!!omba mungu wasije kuwa wasumbufu tu,
We safiri ukirudi utaendelea na kesi yako, mambo ya mahakamani hayahitaji paparainaweza fika mwezi? nauliza hivi sababu nitatakiwa kusafiri.
Nisahihishe kidogoHapo hukumu ikishasomwa, utaambiwa ni baada ya muda gani, uenda kuchukua nakala ya hukumu, ukishaipata hiyo nakala hiyo, itategemea inasema nini, kwani kesi za madai nazo huwa ni changamoto sana, kupata haki yako, hata kama mahakama imetoa uamuzi, lazima uwe mbishi kweli kweli!!ukiona hatekelezi kile kilichoamliwa na mahakama , ndio unaenda kukazia hukumu, nayo ni kesi tena!!tatizo la kesi za madai, kama hana kitu cha kukulipa, hawezi fungwa labda wewe ndio uingie gharama za kumtunza akiwa jela!!ndio maana siku hizi kesi za madai ni chache, nyingi sana zinasukwa zinakuwa za jinai!!ukimkuta mpelelezi, mzuri hiyo hiyo ya madai inatengenezwa inakuwa jinai!!