deejaywillzz
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 637
- 224
Apple walitoa App ya Find my iPhone kama application ya kujitegemea 2010 na ilikuwa free app. Wakaendelea ku improve na ku-link na iCloud, ambapo 2013 iOS 7 ilipotoka ndio ikawa in-built feature.
Mwenye device aki TURN ON Find my iPhone huwezi ku TURN OFF hadi uwe na iCloud Account iliyo TURN ON ile device initially. Hii system inatumika pia katika ku activate devices.
Mabibi na Mabwana kama iDevice yako ni tolea la 2013, kuna very very slim chance ukaweza kuifungua. Ila kama imetoka below that, nikimaanisha 2012, 2011 na kuendelea kuna uwezekano uka downgrade iOS to a lower version lakini hutaweza kutumia iCloud wala Find my iphone pengine hata Apple Store sababu iCloud Account inakuwa linked na IMEI number ya device.
Kwa wale wanaopenda kuchimba utundu zaidi, kuna list ya SHSH blobs zinaweza kuwasaidia maana JAVA programmers ndio wenye ujuzi mkubwa katika kitengo hiki.
https://drive.google.com/folderview?id=0ByxMOiAf78kITnB2MEVkU3J4aGs&usp=sharing#list
Pia kuna file linaitwa setup.app liko mnt1/Applications/setup.app kwenye iPhone. Sitaweza ku upload hilo file for security reasons ila ukitumia SSH Client unaweza kunavigate iPhone system files na kuliona hilo file
SHIKAMOO APPLE