Vitu vipya ndani ya dar es salaam

Vitu vipya ndani ya dar es salaam

Umefukuzwa? Au ulikuwa unatumia kompyuta ya ofisi na muda wa kufunga umefika? Hivi umesoma ulichoandika?
 
Sisi watanzania ni watu wa ajab sana. Tunakimbilia vitu vikubwa na uwezo hatuna. Badala tungewaza na kupanga mfumo wa maji safi na salama ya bomba iwafikie kila mwananch Tunakimbilia vitu ambavyo havina tija. Popo bawa anatuadhib sometimes turudi kwenye track lakin wapi tumebaki kupumuliwa na mazombie tu. Paaambaff
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom