Vitu vinavyonikera ndani ya ndoa

Naam Vaislay wako wanaume wa hivyo ndani ya ndoa lakini cha kushangaza hapa husikii wapigiwe debe bali ni manung'uniko tu ya wale wenye tabia za ajabu ajabu kama huyu, wachafu, hawajali wake na watoto wao, wanadhani mke ni house girl yeye hata kuondoa glass mezani baada ya mlo hawezi. Ahsante sana kwa bandiko hili.

 
Last edited by a moderator:
Huyo atakuwa na frustrations. Tumia busara kuongea nae na kumuonyesha upendo. Amin nakuambia akija kupata kazi atakukumbuka sana katika ufalme wake
 
Daaah inawezekana tunafahamiana mkuu!Sibonike ni maarufu sana na sidhani kama kuna mzawa wa Kyela hapafahamu!

Ukija Kyela japo kwa likizo alert me hommie tupate angalau tubia tuwili pamoja
Utingapasyaga gwa kikolo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…